Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 7: Sebule 3 nzuri simple ambazo unaweza kuhamishia ubunifu wake kwako
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 7: Sebule 3 nzuri simple ambazo unaweza kuhamishia ubunifu wake kwako
Mix

PICHA 7: Sebule 3 nzuri simple ambazo unaweza kuhamishia ubunifu wake kwako

March 10, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Wataalamu wa mambo wanasema kuna idadi kubwa ya watu wanao uwezo wa kifedha lakini nyumba zao zimekosa mvuto sababu hawakupata mwongozo mzuri wakati wa ujenzi au mipango ya mwanzo ya upangaji wa nyumba.

Unaweza kujaza vitu vingi vya thamani kwenye nyumba na bado isiwe na mvuto ndio maana wataalamu wanashauri upate mwanga wa nyumba za kisasa zilivyopangwa au uwape hiyo kazi Wataalamu wenyewe.

S1

Leo nimekuwekea hizi picha 8 za Sebule tofautitofauti kutoka mataifa mbalimbali duniani kuona jinsi unavyoweza kujibadilisha pia kama haukua kwenye kiwango hiki.
S3

S4

S5

Sebule ya pili ni hii hapa chini.. nimekubali sana ubunifu wa kutojaza rangi nyingi kuanzia kwenye carpet na ukutani, vitu vimekua simple kwa pamoja na imependeza sana.

S6

Sebule hii ya tatu hapa chini ni kwa wale wenzangu tunaoanza maisha, kuishi kwenye nyumba ndogo au nyumba za kupanga zisizo na nafasi kubwa… kwa mchakarikaji yeyote wa mjini ukiweka kochi lako moja zuri, TV yako ukutani na nakshi za mbao unaweza kupata sebule ambayo sio rahisi kuichoka.

S8

Usiache kuniambia umependa sebule namba ngapi mtu wa nguvu… niachie comment yako hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: nyumba
Millard Ayo March 10, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kiswahili fasaha cha maneno yafuatayo: Kitchen Party, Smartphone, Expire, Live na Send-off party
Next Article Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 10 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?