Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

Daftari lenye mistari ya ngoma za Drake kuuzwa Tshs Mil.75

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa daftari ambalo Drake alikuwa akilitumia kuandika mistari ya ngoma zake tokea mwaka 2002 mpaka 2005 tayari limewekwa sokoni kwaajili ya kuuzika.

Inaripotiwa kuwa Kampuni ya Moments in Time itauza daftari hilo kwa thamani ya Dollar 32,500 za Kimarekani sawa na zaidi ya shillingi Milioni 75 za Kitanzania huku ikielezwa kuwa daftari hilo liliokotwa kwenye shimo la taka karibu na kiwanda alichokuwa akifanyia kazi babu yake Drake mjini Toronto Canada.

Daftari hilo linatajwa kuwa na jumla ya kurasa 20-26 iliyojaa verses na baadhi ya nyimbo ambazo tayari zimekamilika pia ina mistari ya kipindi ambacho Drake alikuwa kwenye wakati mgumu na daftari hilo linatajwa kuwa na saini halali ya Drake.

Hizi ndio baadhi ya mistari iliyopo kwenye daftari hilo.

Girls lie and you make it evident you affected

Up north / Drake is the president I’m respected

But I’m a liar due to the evidence you collected

From chicks in my crew / to chicks beside you

Cashiers at the drive through / them hoes lie too

MAPYA YAELEZWA KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE “UPELELEZI UMEKAMILIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments