Top Stories

“Siasa isiyoshughulikia mambo ya watu haina maana” Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amezungumza na wananchi wa Longido akiwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Longido Dr. Steven Kiruswa na kusema kuwa siasa isiposhghulikia maisha ya watu haina maana.

Nape amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifika mahali pakumtafuta mtu bora kina kuwa chama kingine kabisa na watu wanaweza kukichezea wakati wakawaida lakini ikifika wakati wa kumtafuta mtu bora kinabadilika na wapinzani watasubiri sana na haiwezekani kukiangusha.

Bonyeza PLAY kumsikiliza Nape

“Tutasafisha nyumba, hakuna mende atabaki na lowasa keshaanza kujisafisha”- Mwenyekit UVCCM

Soma na hizi

Tupia Comments