Breaking News

BREAKING: Video Vixen Agnes Masogange amefariki dunia

on

Taarifa zilizotufikia muda huu hapa Ayo TV na Millardayo.com ni kwamba Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu.

Ayo Tv imefanya mawasiliano na chanzo cha karibu cha marehemu na kuthibitisha kifo chake

Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu


BREAKING: Agness Masogange afariki dunia, Wakili athibitisha
Mke wa Alikiba akiingia ukumbini

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments