Habari za Mastaa

NOUMAH!! Cheki Davido alivyokutana na Dj Khaled (Picha +Video)

on

Staa maarufu kutokea Nigeria Davido anazidi kuvuka mipaka kwenye upande wa kutambulika zaidi  Kimataifa ikiwa time hii amekutana na Dj na Producer maarufu nchini Marekani Dj Khaled akiwa mjini Los Angeles jana June 22,2018.

Davido ni miongoni mwa mastaa waliofanikiwa kufika nyumbani kwa Dj Khaled kwaajili ya maandalizi ya tuzo za BET Weekend zitakazofanyika nchini Marekani June 25,2018.

Kwenye tuzo hizo Davido ametajwa katika kipengele cha Best International Act akishindanishwa na Cassper Nyovest(Afrika Kusini), Fally Ipupa(DRC), Tiwa Savage (Nigeria), J Hus(UK), Booba(France) na wengine wengi.

Dogo Janja “Simjui Mwijaku, mke wangu ni staa hakuwa utupu, Kim Kardashian je ?’

Soma na hizi

Tupia Comments