Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maneno 7 aliyopost Babu Tale Instagram baada ya kumsikia Vanessa yupo Single
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Maneno 7 aliyopost Babu Tale Instagram baada ya kumsikia Vanessa yupo Single
Habari za Mastaa

Maneno 7 aliyopost Babu Tale Instagram baada ya kumsikia Vanessa yupo Single

August 18, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya kuthibitisha kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi baina ya waimbaji wa Bongofleva, Jux na Vanessa Mdee wengi wamekuwa hawaamini kama ni kweli ambapo leo August 18, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM Vanessa Mdee ameendelea kuthibitisha wameachana na kusababisha mjadala kwenye mitandao.

Mjadala huo umekuja baada ya Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale kuposti picha ya Vanessa Mdee kwenye Instagram yake na kuandika:>>>“Don’t get twisted she said she’s single @vanessamdee'” jambo lililomfanya aliyekuwa mpenzi wa Vanessa, Juma Jux kukomenti akiandika; ???????? ‘mzee kama ulikuwa unasubiri hii kinoma’.

Baada ya Jux kukomenti hivyo Babu Tale naye alimjibu kwa kuandika..@juma_jux hahahah achakunionea J4 kasema kwa radio.

“Nikiachana na mtu imetoka siwezi kumrudia tena” – Vanessa Mdee 

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: bongoflevanews
Victor Kileo TZA August 18, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Walipofikia Azam FC na Kagera Sugar kuhusu Mbaraka Yusuph
Next Article FULL VIDEO: Tundu Lissu afichua kilichochelewesha Bombadier kufika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?