Michezo

Ndondo Cup inarudi tena 2019, kipute cha awali May 3

on

Kamati ya mashindano ya Ndondo Cup leo imepanga makundi ya timu zitakazoanzia hatua ya awali tayari kwa kuanza maandalizi ya hatua hiyo.

Katika timu 56 zilizokidhi sifa za kuanzia hatua hiyo, Wilaya ya Ilala imeongoza kwa kutoa timu nyingi ambazo ni 20, ikifuatiwa na Temeke timu 14, Ubungo timu 13, Kinondoni timu 7 na Kigamboni timu 2.

Hatua ya awali inatarajia kuanza May 3 2019 huku ratiba ya michezo hiyo ikitarajiwa kutoka siku ya Ijumaa, waandaaji wa michuano hiyo Clouds Media kwa kushirikiana na Shadaka Sports Management wamepanga kuendeleza na utaratibu wake wa kuiboresha kila mwaka.

KUNDI A
1. Friends Rangers
2. Mwenge Kombaini
3. Atletico de Mabibo
4. Dili Chuma

KUNDI B
1. Stimutosha
2. Sinza utd
3. Ubungo Kombaini
4. Mbeya boys

KUNDI C
1. Mabibo fc
2. Msewe utd
3. Mamu pharmans
4. Katabazi fc

KUNDI D
1. Goba Ham fc
2. Ukwamani fc
3. Rangers fc
4. Taswa fc

KUNDI E
1. Navy Kenzo
2. Sifa utd
3. Beira Hotspurs
4. Magomeni Kombaini

KUNDI F
1. Kichangani kombaini
2. Kibada one
3. Ninga fc
4. Kapten Sports Center

KUNDI G
1. Wauza matairi
2. Chang’ombe Youth
3. Iron Eleven
4. Opec fc

KUNDI H
1. Mafundi Ujenzi
2. Tandika Kombaini
3. Mwandege City
4. Tololi Kombaini

KUNDI I
1. Temeke Squad
2. Vifundo fc
3. Mbagala utd
4. Millenium fc

KUNDI J
1. Maracana fc
2. Tambaza Youth
3. Tabata Future
4. Segerea fc

KUNDI K
1. Goms utd
2. Mocosovo fc
3. Magereza Dar
4. Ball Kipaji

KUNDI L
1. Kitunda Utd
2. Kigogo Fresh
3. Chanika Kombaini
4. Moyo fc

KUNDI M
1. JMK Park
2. Twiga fc
3. Kisa fc
4. Kijiwe fc

KUNDI N
1. Home Team
2. Misheni Kota
3. Bungoni City (boom)
4. Uruguay.

Simba na Yanga za kataa kuungana ili kucheza na Mabingwa mara 5 wa Europa League May 23

Soma na hizi

Tupia Comments