AyoTV

FULL VIDEO: Rais JPM alivyotembelea Mkoa wa Pwani leo

on

Leo June 19, 2017 Rais Magufuli amefanya ziara na kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Pwani kwenye  mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Bwawani Mjini Kibaha akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya siku 3 Mkoani humo.

Hii hapa FULL VIDEO unaweza kuitazama!!!

TFDA imezindua Huduma mpya kwa ajili ya Watanzania!!!

Soma na hizi

Tupia Comments