Habari za Mastaa

Ilivyohappen One Night Stand ya Vodacom Tanzania, Akira Laoung & Bar (+Pichaz)

on

Usiku wa August 7, 2017 ulikuwa usiku wa burudani iliypewa jina la One Night Stand ambayo iliandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika Akira Laoung & Bar ambapo pamoja na mambo mengine wateja wa Vodacom walipata nafasi ya kufahamu zaidi kuhusu Red RLX.

Red RLX ni kifurushi ambacho kinakupa kifurushi cha dakika kila mwezi, internet (MB), SMS na dakika za kupiga simu nje ya nchi.

millardayo.com imekusogezea picha 13 unaweza zitazama hapa chini..

 

Soma na hizi

Tupia Comments