Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

DUUH…! ETI UNAAMBIWA HAWA NDIO WANAUME WA DAR ‘Wanapenda kulelewa’

on

Leo November 1, 2018 tuna story kuhusu WANAUME WA DAR, ambapo hivi karibuni msemo huo umekuwa gumzo katika mtandao ya kijamii, huku kila mtu akitoa tafsiri yake kuhusu msemo huo.

Moja ya tafsiri inayoelezwa kuhusu WANAUME WA DAR ni kwamba ni wanaume ambao wanapenda kulelewa, hawafanyi kazi ngumu, wanapendaa kula vyakula vizuri, Je kuna ukwel kuhusu tafsiri hiyo…?

Serikali yatoa kauli ulaji wa NYAMA ‘bado upo chini, tule Kilo 50’

Soma na hizi

Tupia Comments