Habari za Mastaa

VIDEO: Stan Bakora asimulia alivyo wachanganya wanawake tisa kwa wakati mmoja

on

Kutana na mchekeshaji Stan Bakora aliyezungumza kuhusu jambo lililowahi kumpotezea muda ambapo amesema kuwa na wanawake  wengi ni moja ya jambo lililowahi kumpotezea muda kwani alishawahi kutoka kimapenzi na wanawake tisa kwa wakati mmoja.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA STAN BAKORA AKIZUNGUMZA.

EBITOKE AMEMJIBU GIGY BAADA YA KUSEMA ATAMDUNDA ‘AKIJA ATADUNDA YEYE’

Soma na hizi

Tupia Comments