AyoTV

AyoTV: Mwanafunzi aliyepigwa na Mwalimu Mbeya Day asimulia

on

October 6 2016 ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii video iliyokua ikionyesha Mwanafunzi wa Mbeya Day Secondary akipigwa kwa mateke na makofi na Walimu ambao walikua kwenye shule hiyo kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo……. mtazame kwenye hii video hapa chini ameongea na AyoTV na kusimulia.

Soma na hizi

Tupia Comments