Habari za Mastaa

Steve Nyerere atangaza fursa kwa wasanii wachanga wanaotaka kuwa mastaa

on

Mchekeshaji Steve Nyerere ametoa fursa kwa waigizaji wachanga kujitokeza kwa wingi kwenye usaili wa kutafuta waigizaji watakaoshiriki kwenye movie na tamthilia itakayo igizwa na mastaa tofauti tofauti kutokea Bongo movie.

Steve amesema usaili utafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu kuanzia saa tatu asubuhi na ni kwaajili ya waigizaji wote wachanga na hakutakuwa na mashariti yoyote, hivyo amewaomba watu kujitokeza kwa wingi ili kuja kutimiza ndoto zao.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Steve akitoa ufafanuzi.

MAK JUICE KUWAKUTANISHA JUX, VANESSA, SHILOLE NA MASTAA WENGINE KUSAIDIA WA MAMA

Soma na hizi

Tupia Comments