Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo
Top Stories

Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo

July 31, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo July 31, 2017 imekwama kutoa hukumu ya kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa sababu anaumwa.

Akizungumza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa ambapo Wakili wa Serikali, Shadrack Kimaro alieleza shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutolewa hukumu ambapo hata hivyo, Wakili wa utetezi, Peter Kibatala amedai kuwa mteja wake ameshindwa kufika Mahakamani kwa sababu anaumwa.

Kutokana na hatua hiyo, Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi August 30, 2017 kwa ajili ya hukumu.

ULIPITWA? “Sitekwi ukija sikufahamu labda tupige selfie kwanza nipost” – Gwajima…PLAY kwenye video hii kutazama!!!

ULIKOSA HII ya Askofu Gwajima kumsamehe Diamond baada ya kumuomba msamaha? Tazama kwenye VIDEO hapa chini kwa kubonyeza PLAY!!!

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Askofu Gwajima, Mahakamani, TZA HABARI
Millard Ayo July 31, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kutoka Mahakamani leo kuhusu kesi ya Rais wa Simba SC na Makamu wake
Next Article VIDEOMpya: Mabibi na mabwana Mr. Blue na JR wametusogezea hii mpya “Siwezi”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?