Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Wanigeria Bracket wameachia video inayoonyesha behind the scene ya video waliyomshirikisha Diamond.

on

Screen Shot 2015-01-04 at 3.37.36 PMDecember 2014 kundi maarufu la muziki kutoka Nigeria, Bracket ambao walitamba sana Tanzania na single ya ‘yori yori‘ walithibitisha kufanya kolabo na Mtanzania Diamond Platnumz, walimsifia sana kwa ukarimu wake na kutokuwa na maringo na kitendo chake cha kuipokea haraka nafasi ya kushirikishwa na kuifanyia kazi.

Video ya wimbo wenyewe unaweza kuitazama ndio hii hapa chini mtu wangu…

Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments