Habari za Mastaa

List yote ya washindi wa TUZO za AFRIMA 2017 Nigeria

on

Tuzo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA) zimetolewa Nigeria usiku wa kuamkia leo na baadhi ya Mastaa kadhaa kama Alikiba, Nandy, Wizkid, Tiwa Savage, Ycee, Orezi, 2Baba, na M.I waliibuka washindi wa tuzo hizo.

Kutoka Tanzania Nandy ambae ni staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo ya Best Artist or Group in African RnB and Soul akiwa na Rapper wa Nigeria M.I na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambayo ni “Aje” 

List nyingine Kamili ya washindi:

Best East African Act (Male) – Eddy Kenzo

Best East African Act (Female) – Nandy

Best Southern Africa Act (Male) – Emtee

Best West African Act (Male) – Wizkid

Best West African Act (Female) – Tiwa Savage

Best African Collaboration – Alikiba feat M.I – “AJE“

Best Artist in African Rock – Gilad Millo (Kenya)

Best Central African Act (Male) – Locko

Best Central African Act (Female) – Montess

Best Artist or Group in African RnB & Soul – Alikiba feat. M.I – “AJE“.

Best Artist or Group in African Contemporary: DJ Tunez feat. Wande Coal – “Iskaba“

Best Artist or Group in African Raggae & Dancehall – 2Baba – “Holy Holy“

African Songwriter of the Year – Simi

Producer of the Year – DJ Coublon for Seyi Shay’s “Yolo Yolo“

Artist of the Year – Wizkid

Song of the Year – Wizkid feat. Drake – “Come Closer“

Best Artist or Group in African Hip Hop – Ycee – “Juice“

Best Artist of Group in African Pop – Toofan

Video of the Year – Orezi x Adasa Cookey – “Cooking Pot“

Best Female Artist in Inspirational Music: Asikey George

USIKU WA PARTY YA BILNASS KUMALIZA DEGREE

 

Soma na hizi

Tupia Comments