Aliyekuwa Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari amefika katika duka la DANUBE la GSM maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kununua bidhaa zinazopatikana katika maduka hayo.
Nancy Sumari ambaye amezungumza na waandishi wa habari, amewaambia kuwa amefika katika duka hilo kama mteja hivyo amefurahi kwa sababu duka hilo lina vitu vyote sambamba na uwepo wa punguzo la bidhaa.
“Nimefurahi sana kwani zaidi ya duka hili kuwa na vitu vyote bado kuna discount, hivyo nitoe wito kwa ndugu jamaa na marafiki na Watanzania wote, kuna hizi discount zinaendelea msije kupitwa muwahi,”amesema.
WALIOGHUSHI SAINI YA WAZIRI MAKAMBA, WAPEWA MASHARTI SABA NA MAHAKAMA
You Might Also Like
TAGGED:
Ayo TV, habari kubwa, habari za mastaa, top stories
Mika Ndaba TZA