Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Ukijenga katika fukwe ya bahari, ukizuia njia, faini Milioni 10 au jela”-Wakili
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > “Ukijenga katika fukwe ya bahari, ukizuia njia, faini Milioni 10 au jela”-Wakili
AyoTVStori KubwaTop Stories

“Ukijenga katika fukwe ya bahari, ukizuia njia, faini Milioni 10 au jela”-Wakili

November 15, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Mwanasheria wa kujitegemea, Leonard Manyama amezungumzia sheria kuhusu uendeshaji wa shughuli ama kufanya ujenzi ndani ya mita 60 za fukwe za Bahara, kingo za Mito ama Ziwa.

Wakili Manyama amesema suala la ulinzi na usimamizi wa mazingira linasimamiwa na sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004, ambapo kifungu cha 157 kinaeleza wazi ni marufuku kwa mtu yoyote kuendesha shughuli yoyote ambayo inaathiri utunzaji wa mazingira ndani ya mita 60 kutoka ndani ya bahari, mito ama ziwa.

Amesema fukwe za bahari zinalindwa kwa mujibu wa sheria hiyo ambapo inatamkwa fukwe hizo za bahari kuwa ni maeneo ambayo yanatumika kwa ajili ya matumizi ya umma, ambapo mtu yoyote haruhusiwi kufanya shughuli itakayoathiri maeneo hayo.

“Ni kosa la jinai kujenga katika fukwe bila kuwa na kibali ama kuzuia njia kwani hilo ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria na mtu akibainika adhabu yake ni faini ya Shilingi Milioni 10 ama kifungo jela,”amesema.

WALIOGHUSHI SAINI YA WAZIRI MAKAMBA, WAPEWA MASHARTI SABA NA MAHAKAMA

You Might Also Like

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

TAGGED: Ayo TV, habari kubwa, top stories
Mika Ndaba TZA November 15, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE MAGAZETI: “Katiba mpya lazima”, Shule yachunguzwa kwa ushoga
Next Article “Mimi nimeathirika, tuwe na akiba ya maneno mtaumbuka” -Mbunge Ditopile
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023

March 27, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 25, 2023

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?