Mix

Good News: Ikufikie hii ya bei mpya za mafuta kutoka EWURA

on

Ikiwa tunamaliza mwezi June leo, niko na Good News hii kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA ambao wametangaza kushuka kwa bei mpya za mafuta ya vyombo vya moyo ikiwemo magari na mashine. Bei hizi elekezi zinaanza kutumika rasmi July 1, 2017.

Nimekuwekea hapa chini bei za mafuta kwa nchi nzima kuanzia kesho Jumamosi July 1, 2017.

VIDEO: Kuna mamb 8 unatakiwa kufahamu kuhusu reli ya Standard Gauge inayojengwa kutoka Dar hadi Moro. Bonyeza play hapa kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments