Habari za Mastaa

Arusha wamepiga shangwe Alikiba alivyoperform Urithi Festival Arusha

on

Staa wa BongoFleva Alikiba au King Kiba ameperform leo October 13, 2018 Mkoani Arusha katika tamasha la Urithi Festival lililofanyika Sheikh Amri Abeid ambapo amepigiwa shangwe alipoimba wimb wake wa Mvumo wa radi.

LIVE MAGAZETI: Polisi wamsaka MO Dewji Bahari ya Hindi, Mkewe apewa ulinzi, CCM kuna majizi

Soma na hizi

Tupia Comments