Moja ya habari ambayo imeibua mijadala kwenye mitandao ni kuhusu hatua iliyotangazwa na kampuni moja ya Moshi Kilimanjaro kwamba inatoa punguzo la 30 % kwa yeyote atakaejinunulia Jeneza lake ambapo millardayo.com na AyoTV zimempata Mkurugenzi wa kampuni hiyo Macmillian Msiraki kutolea ufafanuzi……. bonyeza play hapa chini
AUDIO: Kampuni ya Moshi iliyotangaza punguzo la bei kwa ataejinunulia Jeneza yatoa ufafanuzi

Leave a comment
Leave a comment