Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Pichaz za Watangazaji na wanafamilia wengine wa Clouds FM wakitoa misaada Dsm.
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Pichaz za Watangazaji na wanafamilia wengine wa Clouds FM wakitoa misaada Dsm.
Habari za Mastaa

Pichaz za Watangazaji na wanafamilia wengine wa Clouds FM wakitoa misaada Dsm.

January 2, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

100Ni tukio ambalo limefanyika Jan 1 2014 ikiwa ni siku ya kilele cha shamrashamra za miaka 14 ya kuzaliwa kwa Clouds FM ambapo ikiwa ni radio ya watu na kutambua kwamba kuna wengine wanaopitia matatizo kwenye maisha yao kwa wakati huu, team nzima iliingia mtaani na kutoa misaada mbalimbali.

Misaada ilianza kutolewa kwenye hospitali ya Temeke ambapo ilitolewa kwa Wagonjwa na kwa hospitali yenyewe na baada ya hapo team nzima yenye zaidi ya watu 30 ikaelekea moja kwa moja kwenye kituo cha Keko Machungwa ambacho kinamilikiwa na kijana Yohana aliekua anatumia dawa za kulevya ambae ameacha na kuanza kusaidia wengine.

Kwenye kituo hiki ambacho kilitambua umuhimu wa maneno ‘radio ya watu’ kilipeleka maombi ya kusaidiwa mashine ya Compressor ili kurahisisha kazi ya useremala kwenye ofisi ya kituo hiki chenye waathirika 40 ambao baada ya kutibiwa wamekua wakipewa mafunzo ya useremala ili kupata kipato kwa hiyo kazi.

101Team CLOUDS FM na wagonjwa hospitalini

103Mrisho Mpoto ni mmoja wa Wasanii waliojitokeza kuunga mkono.

104Regina Mwalekwa hospitali

105

106Mtu wako wa nguvu kwenye wodi ya watoto

107

122Kuanzia hii picha ya juu na hizi zinazofata ni tukiwa kwenye kituo cha Keko Youth Centre

121Shamba wanalolimia mboga watu wanaosaidiwa na kituo hiki

120Yohana mwenye kituo, Sebastian Maganga ambae ni mkuu wa vipindi Clouds FM pamoja na Said Fela kiongozi wa Wanaume Family.

119

118

117Team Clouds ikimsikiliza Yohana

116Msaada uliotolewa na Clouds FM

115Sehemu ya miradi inayomilikiwa na kituo hiki cha kusaidia watu walioathirika na dawa za kulevya.

114

113Mtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu mtaani, ni furaha yangu.

112Hizi picha hapa chini zinazofata ndio Team Clouds ilikua inakabidhi misaada kwa hospitali ya Temeke.

111

110

109

108

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Millard Ayo January 2, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Breaking: Kuhusu bomu lililoonekana Dar es salaam
Next Article Unaipenda hekaheka? isikilize ya leo hapa ya dada aliefariki.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?