Mix

Watu wa Mwanza wamepata ukumbi wa kisasa wa cinema

on

Mwanza ni moja kati ya miji ninayoizimia kwa muonekano wa mji, hali ya hewa pamoja na ukarimu wa watu wake na mara zote huwa nasema katika sehemu zangu mbazo huwa sichoki kwenda ni Mwanza.

Nimefurahi pia kuona Mwanza imepata sehemu ya kisasa ya Watu wake kutazama cinema, najua miaka iliyopita Mababu zetu walikua nazo cinema lakini hii inakua mara ya kwanza kwa Mwanza kupata ukumbi wa cinema wenye Teknolojia ya leo.

r49a1486

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela na Stanslaus Mabula Mbunge Nyamagana ndio waliweka baraka zao

r49a1501

r49a1492

r49a1526

r49a1497

r49a1524

Watu wakienjoy na trailer kwa mara ya kwanza Mwanza.

r49a1513

r49a1432

r49a1547

VIDEO: Ilikupita suprise aliyoifanya Alikiba Mwanza kwenye FIESTA 2016? tazama hii video hapa chini kujionea mwenyewe

Soma na hizi

Tupia Comments