Mix

Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Jiji la Mwanza.

on

SONY DSCBado tunaendelea kupokea picha na taarifa mbalimbali juu ya Wafanyabiashara wa mikoa mbali mbali walivyoamua kusitisha kutoa huduma sababu kubwa ikiwa ni kugomea mashine za Efd,baada ya Dar es salaam na Tanga hii sasa ni 88.1 Mwanza.

SONY DSCHii ni mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza ikionyesha namna Wafanyabiashara hao walipoamua kufunga maduka yao kwa kile kinachoelezwa kusambaa kwa vipeperushi vilivyowataka leo kutofungua maduka.

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSC

SONY DSCPicha na Gsengo.blogspot.com

Tupia Comments