AyoTV

VIDEO: “Huu mzigo mnakwenda kuwalipisha Watanzania” – Kishoa

on

Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Jesca Kishoa June 19, 2017 alikuwa mmoja kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuelezea namna serikali inavyokosa mapato kwa kushindwa kutaifisha mtambo wa umeme wa IPTL huku wananchi wakiingizwa katika ulipaji kodi…

Polisi DSM wazungumzia tukio la Walemavu kupigwa mabomu 

Soma na hizi

Tupia Comments