Mix

Kuhusu ajali ya Bus Kugonga Treni leo February 28 Singida.

By

on

bunda2Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha  Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28  limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

bunda3Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana ingawa inawezekana  ni sababu ya Bus hilo kuingia njia ya treni,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi na waliopoteza maisha bado haijatangazwa,millardayo.com bado inafatilia chanzo cha ajali hii.

bunda4

bunda5

bunda1

 

Tupia Comments