Video Mpya

VideoMPYA: Ipokee “Issa Banger” kutoka kwa D’banj ft Slimcase & Mr Real

on

Ni ile time ya staa wa muziki kutokea Nigeria D’banj kukusogezea video ya wimbo wake mpya wa “Issa Banger” akiwa amewashirikisha Slimcase na Mr Real.

Tutegemee Project mpya ya Belle 9 na G Nako?

Soma na hizi

Tupia Comments