Habari za Mastaa

Nomah!! Soulja Boy amchana Drake mchana kweupe

on

Kwenye mahojiano na “The Breakfast Club” rapper Soulja Boy amemchana Drake pamoja na Tyga huku akisema kuwa Drake sio Rapper mkubwa kama watu wanavyofikiria na amemuiga mtindo wake wa kuchana kutoka kwenye wimbo wake wa “Kiss Me Through The Phone”

Soulja Boy alinyanyuka kubishana na mtangazaji baada ya kutajiwa kuwa Drake ndio Rapper mkali duniani, Soulja ilibidi aulize Drake huyu huyu ambaye ana bifu na Pusha T au kwa sababu ana ngozi nyeupe?.

“Drake huyu mwenye bifu na Pusha T , inabidi muache kufanya mchezo na mimi, yule jamaa mwenye ngozi nyeupe kutokea Toronto, acheni kufanya kama vile Drake anajua kila kitu ,ule wimbo ni mimi Soulja na tile ni flow zangu amecopy kila kitu kwenye flow yangu”

ULIPITWA NA 10 YEARS CHALLENGE YA MASTAA WA BONGO?

Soma na hizi

Tupia Comments