Habari za Mastaa

Mtoto wa D’Banj mwenye mwaka mmoja amefariki

on

Hii ni ya kusikitisha kutoka kwa staa maarufu Nigeria D’Banj ambaye amempoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja siku ya Jumapili June 24,2018 aliyezaa na mzazi mwenzake Didi Kilgrow.

Taarifa zinadai kuwa staa huyo alikuwa nchini Marekani kwaajili ya tuzo za BET wakati akipata tarifa ya kifo cha mwanae Daniel na kusemekana kuwa mtoto huyo alipata ajali baada ya kuzama katika swimming pool akiwa nyumbani kwao Nigeria.

Kupitia instagram account ya staa huyo ameandika “Najaribu mara nyingi, lakini Mungu huwa ni mwaminifu siku zote”

D’Banj akiwa na mwanae enzi za uhai wake.

Uwoya kafunguka tusiyoyajua “Nimepiga picha na Mama Mkwe, Dogo Janja nimemzidi vingi”

 

Soma na hizi

Tupia Comments