Top Stories

Spika Ndugai amepokea uteuzi wa nafasi nyingine Bunge la CPA Afrika

on

July 27, 2017 taarifa kutoka Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Afrika.

Kwa wadhifa huo Ndugai ataongoza Maspika kutoka Mabunge na Mabaraza ya kutunga Sheria 63 yaliyopo katika nchi 18 za Jumuiya ya Madola barani Afrika.

ULIPITWA? Prof. Lipumba baada ya Spika kuridhia Wabunge 8 kuvuliwa uanachama CUF…play kwenye hii video kutazama!!!

Soma na hizi

Tupia Comments