Habari za Mastaa

VIDEO: Alikiba azungumza kuhusu mnaosema kaiba wimbo wa ‘SEDUCE ME’

on

Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza Arusha katika msimu mpya wa 2017 ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye stage na miongoni mwao ni mwimbaji wa Bongofleva Alikiba ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na Ayo TV na millardayo.com kuelezea kuhusu kudaiwa kuiba wimbo wa ‘Seduce Me’.

Alikiba amesema kuwa sio kweli kuhusu kudaiwa kuiba wimbo huo bali ni wimbo wake na hana tabia za kuchukua wimbo wa mtu huku akisema wimbo huo unafanya vizuri kwa kuwa ni mzuri.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia Alikiba akizungumza kila kitu

Show ya Alikiba One Africa New York

Soma na hizi

Tupia Comments