Habari za Mastaa

Ilivyokuwa harusi ya staa John Dumelo Ghana (Video+Picha 11)

By

on

Muigizaji maarufu kutokea Accra Ghana, John Dumelo ambaye amejibebea umaarufu kupitia movies nyingi alizofanya na waigizaji kutokea Nigeria amefanikiwa kufunga pingu za maisha na mke wake Jumamosi May 12,2018 akiwa Ghana.

Harusi ya staa huyo imeudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Jackie Appiah, Nadia Buari, Yvonne Nelson, Ramsey Noah na wenige wengi, John Dumelo amefahamika kupitia filamu kama Heart of Men, Secret Shadows,Chelsea na nyingine nyingi.

Wema na Steve Nyerere baada ya Lulu kuachiwa ‘Asante JPM’

 

Soma na hizi

Tupia Comments