Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo July 27, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais wa TLS Tundu Lissu baada ya kuwekwa mahabusu kwa siku kadhaa.
Tundu Lissu amepewa dhamana hiyo baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili wenye bondi ya Tsh. Milioni 10 kila mmoja na amepewa sharti la kutotka nje ya nje ya Dar es Salaam na kesi imeahirishwa hadi August 24 mwaka huu.
VIDEO: Polisi walivyomzuia Wakili Fatma Karume kuzungumza baada ya Lissu kuachiwa kwa dhamana!!!!