Top Stories

Mwanamke anayedaiwa kuwa mchawi na mwenye uwezo wa kutabiri kifo kikatokea ARUSHA

on

Leo January 9, 2018 imeripotiwa taarifa kutoka Arusha ambayo inamhusu mwanamke anayedaiwa kuwa ni mchawi kutokana na maneno yake ambayo amekuwa akiyasema, kwa mujibu wa majirani zake mwanamke huyo ana uwezo wa kutabiri kifo na kikatokea.

Tukio hilo limetokea katika kata ya Osunyai eneo la Ngusero ARUSHA ambapo wananchi walivamia nyumbani kwa mwanamke huyo wa kimtuhumu ni mchawi na ana tabia ya kuwachukua watoto wa majirani na kuwalisha mikate mibovu.

Bonyeza PLAY kusikiliza FULLSTORY..

HEKAHEKA: Mwanaume aliyehudumia mtoto mpaka miaka 9 ambiwa mtoto siwake

Soma na hizi

Tupia Comments