Top Stories

Alieidhinisha kiapo kwa Odinga, Miguna Miguna amelazwa hospitali

on

Leo March 29, 2018 stori ninayokusogezea ni kumhusu Mwanasiasa wa Kenya aliyeidhinisha kiapo kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Miguna Miguna amelazwa hospitalini Dubai baada ya kulalamika kuwa ana maumivu ya mbavu.

Miguna ambae amefukuzwa nchini Kenya kutokana na mzozo wa Uraia wake amedai alipigwa na askari wakati wanamuondoa Airport.

MAZISHI YA ALLEN: Baba Mzazi ameeleza alichoambiwa na Mwanae kabla ya kufariki

Soma na hizi

Tupia Comments