Top Stories

Daah!! unaambiwa hii ni gari ya 1986 ila thamani haishuki siku hadi siku (+video)

on

Mara nyingi tumezoea kuona magari ya zamani thamani yake ikishuka lakini hii tumekutana nayo kwenye maonyesho maalum ya waandaaji wa sherehe za harusi, AyoTV imekutana na gari ya mwaka 1986 lakini unaambiwa gari hii thamani yake sio ya kitoto pamoja na kuwa ni gari toleo la zamani sana.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video

Naibu waziri Shonza kwenye maonyesho Adorable Wedding Fair 2018

Soma na hizi

Tupia Comments