Video Mpya

VideoMPYA: Hatimaye Shilole kadondosha video ya ‘Mchaka mchaka’ Uchebe ndani

on

Baada ya msanii Shilole kuwa kwenye Headline za kuwa alikuwa akitafuta Kiki kupitia ishu ya Muna na badae kutoa wimbo mpya wa ‘Mchaka mchaka’ sasa hatimae Shishi ameadondosha video ya wimbo huo ambao Mumewe Uchebe ameonekana humo ndani.

VIDEO: Shilole amefunguka “Mimi ni kiki siku zote za maisha yangu”

EXCLUSIVE: Paul Clement kuhusu Goodluck Gozbert / Ben Pol na mengine

Soma na hizi

Tupia Comments