Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Boyfriend wangu nipo naye, niliumia nikafanya vile, Hamisa atachagua mwenyewe”

on

Mrembo Tahiya aliyetrend mtandaoni hivi karibuni kwamadai ya kuwa ameibiwa mpenzi wake na Hamisa Mobetto, amezungumza na AyoTV na millardayo.com kuhusu swala hilo ikiwemo maisha yake binafsi pamoja na shughuli anazozifanya kwa sasa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW

B Dozen “Nilikuwa na mpenzi wangu, nime-enjoy sana Thailand” Nikweli Ben Pol anaowa hivi karibuni? (+VIDEO)

Soma na hizi

Tupia Comments