Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mayweather vs McGregor walivyokutana kwa mara ya kwanza
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Mayweather vs McGregor walivyokutana kwa mara ya kwanza
Mix

Mayweather vs McGregor walivyokutana kwa mara ya kwanza

July 12, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Ni tambo na majigambo ambavyo vinatawala sasa baada ya kuthibitishwa kwa pambano linalosubiriwa kwa hamu baina ya Conor McGregor vs Floyd Mayweather ambao kwa mara ya kwanza tangu walipokubaliana kupambana wamekutana uso kwa uso Los Angeles.

Mbele ya mashabiki wapatao 11,000 waliofurika LA’s Staples Center, Mayweather na McGregor walikutana uso kwa uso kwa mara ya kwanza tangu pambano lao lilipothibitishwa huku McGregor akidai atamchapa Mayweather katika round ya nne.

Kitu ambacho kilinogesha zaidi katika kukutana kwao ni kitendo cha Mayweather kuzomewa na mashabiki wake huku McGregor akimdhihaki kwa kumuita mfupi na dhaifu.

>>>”August 26, mtu huyu atakuwa hajitambui, ni mfupi mno, ni dhaifu sana…atakuwa hajitambui ndani ya round ya nne. Hana uzoefu, simhofii.” – McGregor.

Pambano la Conor McGregor vs Floyd Mayweather litapigwa 26 August, T-Mobile Arena, Las Vegas, Marekani.

Mtanzania ambaye akikosa siti ya mbele kwenye daladala hasafiri!!!

You Might Also Like

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Kampuni ya PAET imewekeza Dola Milioni 70 uendelezaji gesi

TAGGED: Boxing, Floyd Mayweather, Pichaz
Millard Ayo July 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Alichoongea Peter Msechu kwenye XXL leo kuhusu mwili wake
Next Article Ulinzi aliyoingia nao Wayne Rooney uwanja wa Taifa leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?