Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nchi zenye sheria 8 za kushangaza, kukamata wenye UKIMWI n.k
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Nchi zenye sheria 8 za kushangaza, kukamata wenye UKIMWI n.k
Mix

Nchi zenye sheria 8 za kushangaza, kukamata wenye UKIMWI n.k

May 8, 2017
Share
3 Min Read
SHARE

Huu ni ulimwengu wa kanuni, taratibu na sheria ambazo kufuatwa ni wajibu wa kila mtu ingawa zipo kanuni, taratibu na sheria nyingine zinaajabisha sana na ninazo hapa sheria 8 kwenye sehemu mbalimbali za dunia.

1: Polisi kukamata wenye UKIMWI – Ugiriki

Nchini Ugiriki Polisi wanaruhusiwa kumkamata Mtu yeyote anayeshukiwa kuwa na HIV… Polisi pia wanaruhusiwa kulazimisha watu kupima HIV, kutangaza majina ya wenye HIV hadharani na kuwafungia majumbani mwao.

2: Ruhusa ya kumpiga mkeo – Arkansas

Katika mji wa Arkansas, Marekani bado kuna sheria ambayo ilianzishwa miaka ya 1800 ambayo inamruhusu mume kumpiga mkewe lakini mara moja kwa mwezi.

3: Mwenye mustachi haruhusiwi kubusu – Iowa

Kuwa na mustachi au hata ndevu sio tatizo katika sehemu nyingi duniani lakini katika mji wa Iowa Marekani ni kama vile unaambiwa usiwe na mustachi kiaina baada ya watu wenye mustachi kukatazwa kumbusu mwanamke hadharani.

4: Tangazo la ndoa kwenye gazeti – Ugiriki

Nchini Ugiriki kama unataka kuoa, sheria inawataka wenye nia ya kufanya hivyo kuchapisha tangazo la ndoa kwenye gazeti (kwa kigiriki) au kwenye ubao wa matangazo.

5: Mke kumuua Mumewe msaliti – Hong Kong

Hong Kong kuna sheria ambayo inaruhusu Mke kumuua Mumewe kama atabaini anamsaliti ambapo hata hivyo anatakiwa kumuua kwa mikono yake pasipo kutumia silaha yoyote.

6: Kusahau Birthday ya mkeo – Samoa

Ni wangapi huwa na kumbukumbu nzuri ya siku ambayo wamezaliwa watu wao wa karibu hasa Mke/Mume? Unaambiwa kwenye nchi ya Samoa ni kosa kwa mume kusahau birthday ya mkewe.

7: Matembezi na Mbwa – Turin, Italia

Baadhi ya sehemu ni jambo lisilo la kawaida mtu kutembea na mbwa katika matembezi ya kawaida lakini hilo ni tofauti katika mji wa Turin, Italia ambapo wamiliki wa Mbwa wanatakiwa kutembea na Mbwa wao angalau mara tatu kwa siku.

8: Kuibia mitihani – Bangladeshi

Hakuna nchi inayoruhusu Wanafunzi wake waibie majibu wakati wa mitihani, unaambiwa Bangladeshi imeweka sheria kuwa watoto wa miaka 15 na watu wazima, wanaweza kufungwa kama watakutwa na kosa la kuibia kwenye mitihani yao ya mwisho.

VIDEO: Vyeti feki mpaka ofisini kwa Meya wa Dar es salaam… Bonyeza play kutazama hapa chini.

VIDEO: Binadamu Mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: duniani
Millard Ayo May 8, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Mchekeshaji wa Kenya kuhusu Warembo wanaopaka make-up na kuacha viuno wazi
Next Article CNN na Al Jazeera zaripoti ajali iliyoua 32 Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?