AyoTV

Video ya Snura ‘Chura’ haitopelekwa kwenye Tv

on

Baada ya video ya msanii wa Bongofleva Snura kuzinduliwa na kuitoa rasmi video ya ngoma yake mpya ya Chura, headlines nyingi zimekuwa zikiandikwa mitandaoni kuhusiana na video hiyo, wapo wanaoisifia na wapo wanaopenda kuitazama kutokana kuvutiwa na style yake ya uchezaji, Ayo Tv ilimpata Snura katika exclusive interview.

“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia” >>> Snura

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA ‘CHURA’ APRIL 24 2016

https://youtu.be/Sd9N5Ffognw

Soma na hizi

Tupia Comments