Habari za Mastaa

“TID asinitafute ubaya, Mavoko aliota amekufa, kuolewa mimi wa kike” – Lulu Diva

on

Leo April 11, 2019 Mwimbaji Lulu Diva ameachia wimbo wake mpya ambao ni Audio na wimbo unaitwa ‘Nilegeze’ na tayari upo kwenye platform zote za muziki kuweza kuisikiliza ngoma hiyo, sasa AyoTV na millardayo.com imefanikiwa kumpata kwenye mahojiano naye na kuzungumza kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu yeye.

Kati ya yale yanayoendelea mitandaoni ni pamoja na ishu ya msanii mkongwe TID kusikika akimuongelea Lulu Diva na ishu yake ya mtoto, pia Lulu Diva amefunguka ishu nyingine inayosemekana kuwa amefunga ndoa kimya kimya na mume wa mtu.

Yote hayo Lulu Diva ameyajibu hapa kwenye hii video hapa chini Bonyeza PLAY kutazama video.

VIDEO: CHARZ BABA KAFUNGUKA KUDAIWA KUMUOA MWANAMKE MWENYE MIMBA YA MWANAUME MWINGINE

Soma na hizi

Tupia Comments