AyoTV

Waziri Makamba kuhusu Mpango wa Serikali kupunguza matumizi ya Mkaa na Kuni

on

Waziri wa Mazingira January Makamba leo August 1, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari Dar es Salaam na kusema kuwa upo utaratibu umeandaliwa na Serikali kuhakikisha watu wanatumia gesi kama nishati mbadala ya kuni na mkaa kwa ajili ya kuhifadhi mazingira.

Aidha, Waziri Makamba amesema kuwa ili kushibiti uharibu wa mazingira unaosababishwa na ukataji wa miti ambayo hutumika katika kuchoma mkaa na kuni, Serikali imeandaa mpango maalum kwa Mashirika ya Umma kuachana na matumizi ya mkaa na kuni na badala yake yataumia gesi.

ULIPITWA? Serikali imewajibu wanaosema uchumi wa Nchi umeporomoka…play kwenye video hii!!

Soma na hizi

Tupia Comments