Top Stories

LIVE: Burudani ya Khadija Kopa shughuli ya Malkia wa Nguvu 2019 ‘Mwanamke jeuri muibie mumewe’

on

Live Malkia wa Mipasho Khadija Kopa akiwa kwenye stage akitoa burudani katika shughuli ya ugawaji wa tuzo za malkia wa nguvu 2019 ambazo zinafanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwl. Julius Nyerere DSM, Khadija Kopa anakuambia ‘Mwanamke jeuri dawa kumuibia mumewe‘.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

Soma na hizi

Tupia Comments