Habari za Mastaa

TOP 20: Kali 20 zilizofanya vizuri Wiki hii, May 20, 2018

on

Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila siku ya Jumapili CloudsFM ikichukua dakika 120 kuanzia saa 5:00 Asubuhi hadi saa 7:00 Mchana na kusimamiwa na mtangazaji Mami Baby. Karibu kutazama chart ya wiki hii imekaaje.

EXCLUSIVE: Gigy amwaga machozi afunguka Mtoto si wa Mo J amtaja Mzazi mwenzie

GIGY MONEY: “Mo J alitoka na House Girl, Mimi nikawa natoa pesa ya matumizi”

Soma na hizi

Tupia Comments