Mix

PICHA 5: Muathirika wa dawa za kulevya aliejiandalia kaburi na jeneza lake

on

Nafahamu umeshakutana na story nyingi za watu ambao hutoa maagizo kwa ndugu zao kwamba siku wakifa wazikwe kwa majeneza gani au kuchagua sehemu za kuzikwa, leo nakukutanisha na hii ya Dubliner John Edwards, 61.

Huyu ni raia wa Ireland Kaskazini ambaye ni muathirika wa dawa za kulevya, naambiwa ameamua kuchimba kaburi lake na kutengeneza Jeneza ili siku akifa azikwe hapo.

Edwards, ambaye amepoteza zaidi ya marafiki zake 20, baadhi yao kwa kujiua kutokana na dawa za kulevya, kupitia kile alichosema: “Kukutana na ajabu ya Mungu miaka 27 iliyopita”, ameamua kuanzisha kituo cha kikristo kitoacho huduma ya malazi na makazi kwa ajili ya watu hao.

 

VIDEO: Shinyanga watu waliamka na kukuta Makaburi yamefukuliwa, Tazama hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments