Top Stories

BAKWATA yafuta mfumo wa kupata Masheikh wa Mkoa, wilaya kwa kufanya uchaguzi

on

Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA Sheikh Khamis Nataka amesema mfumo wa kuwachagua Masheikh wa Mikoa na Wilaya umefutwa na sasa watateuliwa na vyombo vya kitaalamu vyenye ujuzi wa dini ya Kiislam.

“BAKWATA Taifa ndio litakaloteua sio kuchagua, Masheikh mikoa na wilaya, kwa hiyo saivi Masheikh wa mikoa na wilaya hawatachaguliwa katika uchaguzi, Maimam wa misikiti watateuliwa na Baraza la Masheikh wilaya” -Sheikh Nataka

Mambo 3 Kesi ya Rais Simba, Mashtaka yamebadilishwa, anatembea kwa kushikiliwa

Soma na hizi

Tupia Comments