Habari za Mastaa

“Mimi ni Madame Boss, nimempa Barnaba Milioni 6” Wolper

on

Muigizaji na Mwanamitindo Jacqueline Wolper amerudi tena kwenye headlines baada ya kuzungumza kuwa yeye ni Madame Boss ikiwa ni dakika chache toka alipomzawadia Mwimbaji Barnaba Boy Dola za kimarekani Elfu tatu (zaidi ya Million 6 Tsh.) na kumuahidi kumfanyia video ya wimbo wake hata kama kwa gharama zaidi ya Million 15.

Wolper amezungumza hayo wakati wa mahojiano na AyoTV na millardayo.com wakati alipokuwa kwenye Listening party ya Album ya Barnaba iliyofanyika August 30 ambapo pia aliongezea kwa kusema kuwa yeye hapaswi kufananishwa na Maboss lady wengine….

VIDEO: Aliyezaa na Barnaba “Nimemiss, hatupashi viporo, wanaomgombania hawajielewi”

EXCLUSIVE: “BARNABA NI MUHONGAJI MZURI HII GAUNI KANUNUA/NIMEMCHORA TATTOO”

Soma na hizi

Tupia Comments