Habari za Mastaa

VIDEO: Majibu ya Shilole kwa wanaosema hajiweki kisanii ‘Mnikome, napenda maisha haya’

on

Mwigizaji Shilole amehojiwa na AyoTV na milardayo.com kuhusu watu wanaodai yeye hapendi kujiweka kisanii, na hii ni kutokana na lifestyle yake ya kupenda kujiweka kawaida ambapo yeye amekuwa akidai ndivyo anavyopenda kuishi. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya Shilole akizungumza.

VIDEO: “ILIKUWA NDOTO YANGU, ASLAY ANA-PLAY PARTY AMBAYO HAITAKAA IFUTIKE”

Soma na hizi

Tupia Comments