Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Mume Amber Rutty hoi kitandani, Amber Rutty amefunguka

on

Baada ya video inayomuonesha mume wa Amber Rutty akiwa anatoka mahakamani na kudondoka chini baada ya kuishiwa nguvu huku akipata maumivu ya tumbo, hatimaye leo AyoTV na millardayo.com zimefika walipohifadhiwa Amber Rutty na Mumewe ambapo wamezungumza mwanzo mwisho.

Soma na hizi

Tupia Comments